cd
Tanzania Horticultural Association(TAHA) ambayo ni taasisi inayosimamia wadau wa matunda, mbogamboga na viuongo, Mamlaka ya biashara tanzania (TANTRADE), kwa kushirikiana na kituo cha biashara ya kimataifa (ITC) chini ya ufadhili wa umoja wa ulaya EU unatekeleza mradi wenye lengo la kuboresha masoko ili kuongeza mauzo ya nje ya nchi(MARKUP).
CALL FOR EXPRESSION OF INTEREST To participate in training on Business Export Strategy under EU-EAC Market Access Upgrade Programme (MARKUP)